JUST IN : Simba Kumfurumusha Kocha wa Viungo Kutoka South Afrika
0
May 12, 2023
JUST IN: SIMBA itafanya maboresho kwa kumuondoa kocha wa viungo, Kelvin Mandla kutokea Afrika Kusini kwa kinachoelezwa ameshindwa kuendana na kasi wanyoitaka katika eneo lake na inaelezwa huenda akarudishwa Adel Zrane aliyewahi kufanya kazi hiyo kwa mafanikio kikosinj hapo.