Juma Mwambusi "Yanga Watumie Busara Wamwachie Kijana Fei Toto"

 Published from Blogger Prime Android App


"Yanga wamuachie tu kijana aondoke. Busara inabidi itumike maana yanga wanafanya vizuri hata bila ya @feisal194, wamuachie aondoke waokoe kipaji chake maana hata taifa linanufaika na kipaji chake"

"Busara itumike, sawa sheria zipo lakini manufaa ni kwa mtoto, maana anakaa bila kucheza anaharibu kipaji chake, viongozi wa Yanga wafikirie mara tatu, waweke jambo hili likae sawa maana taifa linamtegemea Feisal"

- Maneno ya Juma Mwambusi, aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga Sc

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.