Makombe ambayo Simba ‘wamekufa kiume’ msimu huu:
-Mapinduzi Cup
- Mabingwa Afrika
- Azam Federation
Kwa upande wa Ligi Kuu bado bingwa hajapatikana. Yanga wakifungwa mechi zote zilizobaki, Simba wanaweza kuwa mabingwa ‘kiume’ na mashabiki wao ‘wasiwadai’.
Je kuna haja ya wanasimba kutafuta Mchawe au warudi nyuma wajipange upya kimya kimya?
safi
ReplyDelete