Haji Manara "Nchi Imetulia Tulia Tuli"

 

Haji Manara
Haji Manara

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa aliyekuwa mesemaji wa Yanga SC, Haji Manara Ameandika....

"Morning Tanzania yangu Morning My People Morning Wananchi Morning Afrikaaaaaaa

Maana ya kilomolomo kwishnehi ndio hii sasa,

Nchi imetuliaaaaaaa, Tuliiiii, na hv ndivyo tunavyotaka Yanga Afrika."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad