Fei Toto Akwama Tena, TFF Wasema Bado Ana Mkataba na Yanga


Fei Toto Akwama Tena, TFF Wasema Bado Ana Mkataba na Yanga

Kwa mara nyingine tena Zanzibar Finest Feisal Salum ‘Feitoto’ ameshindwa kutoboa kwenye shauri lake la kutaka kuvunja makataba wake na klabu ya Yanga!

Taarifa rasmi ya TFF inasema, baada ya kupitia na kutafakari kwa kina hija zote za pande husika, Kamati imetupilia mbali maombi hayo kwa msingi kwamba, ilishaamua juu ya uhalali wa Mkataba wa Feisal na klabu yake kwamba ana mkataba mpaka 2024.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.