Exclusive: Muda Wowote Kuanzia Sasa CAF Watatoa Adhabu Kwa Yanga Mchezo wa USM Alger
0
May 31, 2023
EXCL: Bodi ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) muda wowote itatoa adhabu kali ya faini na hata kifungo kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu yaliyoripotiwa na USM Alger katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho ambao ulichezwa Dar es Salaam.